kwa wengine inaweza kuonekana kama ndotto lakini kwa wenzetu ndo ukweli huo
prince william na bibie Cath wakiyaanza maisha ya kifamilia kwa utam upitao maelezo. nawaombea heri ndoa yao idumu.
pilika pilika hazikuishia hapo tu, bali ziliendelea hadi kwa kiwango cha mbali kabisa cha kufikia kuhusisha pia ndege za kijeshi kuja kupita kwa mwendo wa kasi ili kutoa heshima kwa bosi wao.
keeki nayo ilitengenzwa na wataalamu waliobobea kiasi cha kugharimu mi pes kibao inayotosha kujenga barabara ya namtumbo hadi morogoro kwa kiwango cha lami
sasa ukitazama ndo kama hiyo pamoja na mbwembwe zote je harusi inayofanyika hapa kwetu tanzania katika mfumo wa picha inayoonekana hapa chini ni harusiii au majaribio ya kuigiza harusii?
HAYA BWANA KAZI KWA WANAOJIANDAA KUFUNGA NDOA.





