Imekuwa utaratibu kwa maisha kuwa kila kitu kinapotokea huwa kinakuwa na malipo fulani kwa anayekifanya. ndo maana hata mitihani hii ambayo tumekuwa tukiifanya kama wanafunzi feedback yake ni matokeo yanapokuwa yanatangazwa.
kwa hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwa wanafunzi hasa waliofanya vibaya. ila kwa waliofanya vizuri kwa ni Neema kubwa. but pamoja na hayo yooote mie ningependa kuwapa HONGERA woote waliofanya vizuri na pia POLE SANA kwa wale woote ambao kwa necta haijaleta mavuno mazuri.Mungu wetu atawasaidia kwa upande mwingine wa plan zao za maisha.
tembelea hapa uyaone matokeo yalivyo na uone nini kinapaswa kufanywa immediatelly.
asanteni sana
