chikita

TANGAZA NASI

Friday, February 4, 2011

UDSM KIMENUKA

NI MIKIKI MIKI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. ASKARI POLISI WAKIFUKUZANA NA WANAZUONI WANAODAI NYONGEZA YA PESA ZA KUJIKIMU, TUTAWAPATIA HABARI ZAIDI NA PICHA ZA MATUKIO MUDA MFUPI BAADAE MAANA TUPO KWENYE ENEO LA TUKIO.