chama hiki kimekuwa kikituendesha kwa muda kitambo sasa kiasi kwamba wamekuwa mstari wa mbele kutudidimiza hasa sisi wanyonge.kimekuwa na viongozi wanaofuja mali za watanzania na kutuacha tukiwa bado katika lindi kubwa la umasikini. ni nani asiyefahamu orodha ya mafisadi kumi walotajwa na dr slaa. ni yupi kati yao asiyetoka ccm.? hakika kwa moto huu wa katiba mpya na malipo batili kwa dowans ccm mnajichimbia shimoo
