Kufuatia hali tata ya ukame hapa mjini hatimae leo mwenyezi Mungu katukumbuka kwa mvua nzuri ambayo imetuacha tukijivinjari na baridi tulokuwa tumeimisi kwa muda sasa. ila balaa lake kesho. hizo foleni zitakuwa hazifai. si unajua tena mambo ya hapa mjini.
