Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Cuf, Leopold Mahona (kulia)
akicheza mchezo wa bao kwenye kijiwe kilichopo mtaa wa kijiji cha
Mbutu, Wilaya Igunga, jana, ikiwa ni sehemu ya kampeni yake ya kuomba
kura kwa wananchi wa jimbo hilo. Picha na Fidelis Felix