chikita

TANGAZA NASI

Monday, September 19, 2011

HIVI KWELI JAMANI BADO TUNAYAHITAJI HAYA KATIKA NCHI ZETU KARNE HII YA 21.????

Nghoboko Masele aliyejitambulisha kama balozi wa nyumba kumi kumi wa CCM, katika kijiji cha Mwayunge Mashariki Kata ya Igunga, akiwa chini ya ulinzi baada kukamatwa na wafuasi wa chadema akiorodhesha majina na namba za shahada za wapiga kura pamoja na namba za simu zao katika jiji hicho.jana. Picha na Fidelis Felix