WADAU WA JAHAZI LA CLOUDS FM WAKIPOZI KWA PICHA YA UKUMBUSHO
Ni Anold Kayanda, Wasiwasi Mwabulambo na Efraim Samson Kibonde watangazaji wa kipindi cha jahazi kinachopeperusha matangazo yake kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kituo cha clouds Fm cha jijini Dar es Salaam