chikita

TANGAZA NASI

Wednesday, May 18, 2011

ANOLD AMETOSANA NA MKEWE

Mama huyu ndiye aliyekuwa mfanya kazi katika familia ya Anold Schwarzenegger na kumbe wakati wa utumishi wake alikuwa akienjoy "part time" toka kwa mzee wa familia hali iliyosababisha miaka 15 baadae mwaka huu January mama huyu alipostaafu kazi katika Familia hiyo akaweka wazi kuwa mtoto aliyenaye (Katherine) ni wa Bw. Anold. jambo lililosababisha kutenguka kwa ndoa ya Bwana huyo na mkewe waliyedumu naye kwa miaka 25