John Cheyo ni mojawapo wa viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania. Cheyo alipata umaarufu sana nchini Tanzania katika kinyanganyiro cha uchaguzi ambapo alisema kwa ufupi kwamba sera zake ni "kuwajaza watanzania mapesa". Hii ilikuwa ni sera inayokaribishwa sana kwa sababu wakati huo maishayalikuwa magumu san kwa watanzania wengi. Shida kubwa ni kwamba alishindwa kujieleza kuwa hayo mapesa angeyatoa wapi.
